Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wooooohhhh safiii[emoji123]msimbazi ndani ya damu alaa
Mchezo ni mgumu,lakini mwisho wa siku mwenye kisu kikali ndio anakula nyama.Tuendelee kuwepo hapahapa .
Unamkumbuka stiker hatari wa cameroon aliyeitwa JAMA MBHA ? hakika yanga ni noma kwa kuibiana .mchezaji ghali halafu hovyo...
Yanga3-simba0Simba Taifa kubwa.Leo atajulikana wakimataifa.
Pole sana , technology huja na changamoto zake .Huu mfumo wa electronic pumba sana, yaani hadi nimetaka kuumia hapa getini! watupishe tuingie tuwahi nafasi
Azam ile timu inayofungwa na wala mihogo na mbaazi , Ndanda ?Simba wanaweza kushinda kama wakitulia,maana Dam changa zinachemka,ila Yanga inaweza kuwafunga Simba kwa Uzoefu
Lazima tukubali kwamba Yanga ni mahiri sana kubadilisha Mchezo wanapoona hali tata,ila Simba inakuwa ngum sana kubadilika.Hii ndio naiona hapa inaweza kuwa Credit kwa Yanga.
Mie leo humu ni Refa:Maana ni shabiki wa AZAM DAMUUUU
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga ikishinda, najipa adhabu moja kali sana ya kuvaa jezi yao kwa saa moja!
ahsante dada anguPole sana , technology huja na changamoto zake .
Rrraaaaaaaah shemelaaaaaSimba 0. Yanga 3............!
Daaaah nitakumiss sana.Yanga akishinda mnipige Ban ya maisha.