Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Aisee we acha kabisa,yaani hizi team ndogo siku hizi zinatia aibu wakubwa zao.Azam ile timu inayofungwa na wala mihogo na mbaazi , Ndanda ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee we acha kabisa,yaani hizi team ndogo siku hizi zinatia aibu wakubwa zao.Azam ile timu inayofungwa na wala mihogo na mbaazi , Ndanda ?
Unafaa kuwa amirijeshi mkuu.Yanga akishinda mnipige Ban ya maisha.
Hakuna kukimbia humu
Hahaha vibando uchwara havihitajiki wakati huukukimbia ipo bando ikikata
Tulia acha kupanic kijinga...mkuu jiheshimu hakuna kandambili
Afadhali waendelee kuchomeka tu!Kwa kikosi hiki Simba hawachomoki

DK 3, Kazimoto anaangushwa wakati akienda kufunga, mwamuzi anasema faulo, anaipiga Ajibu lakini juuuuutanesco wamekata umeme magomeni nzima
Dk 6, Kichuya anatoa pasi nzuri kwa Ajib, anageuka na kupiga, mpira unaingia langoni. Lakini mwamuzi Saanya anasema ilikuwa offside tayarikichuyaaaaaaa ni offside