jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Unaongea lugha gani wewe ngoja muone nn mnataga leo
Mechi ni Simba 56% possession Yanga 44
asee kubwa kama final ya uefa
Inakimbiakimbia tyuu hapo uwanjaniYanga inacheza
Lakini naamini Yanga ushindi lazima....
bila kupapasa machoLakini naamini Yanga ushindi lazima....
kafanyajeeeeMwinyiiiiii kazimotoooo
umeona wapi na hakuna umeme magomenihii kadi nyekundu kabisa
wengine hautfatilii mechi so weka na nyama kidgohii kadi nyekundu kabisa
Count me inteam yanga tujuane bhana baada ya mechi humu humu tusalimiane pia
refa anawabeba yanga
Count me in
Wewe ni mgeni bila shaka, wengi huku tunajuana.