Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Yanga walikuja na Refa na mshika kibendera lile goli limemuuma Refa ilibidi tu apulize goli la obside walikataa Simba wakaamua kufunga kutokea Kona tehteh! Yanga bado mnatumia ile kauli hata goli la mkono????? ila Mashabiki wenzangu Simba tabia ya kungoa viti haikuwa nzuri tunaharibu Mali zetu wenyewe!
 
Nilisema humu bila Sanya kuwabeba yanga hawawezi kushinda.Hayo ndiyo matokeo.Yanga ndio timu mbovu kabisa hapa TZ. Haiwezekani kila mechi Yanga wabwebwe tu.
 
Yupi anayeua?

Aliyefunga goli kama la Maradonaaa?

Au

Yule aliyefunga bao kama la Singano la misimu iliyopita?
 
Nilisema humu bila Sanya kuwabeba yanga hawawezi kushinda.Hayo ndiyo matokeo.Yanga ndio timu mbovu kabisa hapa TZ. Haiwezekani kila mechi Yanga wabwebwe tu.

Timu mbovu iliyo beba Ubingwa mara nyingi (26) kuliko timu bora iliyobeba ubingwa mara kiduchu (18)
 
kumalamamakeeeeeeeeeeeeeeeeeee refaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbebanaaaaaaaaaaaaa mmeachiiiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu kesho tuna game bhana hatutaki kukukumbuka tena bhana. Ila kichuya katupa raha.
 
Wazee wa mbeleko wamshukuru refa kwa kuwazadia goli la mkono

Tutamshukuru.

Ila usisahau pia kumuandikia barua DIEGO ARMANDO MARADONAAA amshukuru yule refa aliyechezesha mech ya Argentina vs England.
 
Hii tabia ya kuharibu viti sio kitu kizuri au sisi watanzania tumezoea majukwaa ka ya ccm kirumba..
Referee na wasaidizi wake nao wamekuwa pumba sana...
Lakini ndo mpira ...kikubwa tujifunze kutunza vyetu
 
ndio maana Uhuru wameweka zege
 
Back
Top Bottom