Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

kumalamamakeeeeeeeeeeeeeeeeeee refaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbebanaaaaaaaaaaaaa mmeachiiiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ulikuwa umejificha wapi mkuu, maana niliposikia yanga wanaongoza kwa goli moja na mkude katolewa kwa kadi nyekundu nikaacha kufuatilia, ila hawa ndala wana bahati sana leo refa alikula kwao vinginevyo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
1475337887873.jpg
 
Goal la mkono sishangai coz Mwigulu ni shabiki wa Yanga alikuwepo uwanjani.....Hivi Mbowe ni shabiki wa Yanga ama Simba? kama ni Simba mbona hakushangilia goal?.......Na kama ni Yanga ataivaa ile jezi yenye rangi ya kijani?
 
Kuna shabiki mmoja wa Yeboyebo alizidi kelele nikajikuta ghafla nimempa ndochi moja ya uso ila tumeyamaliza baada ya kumpa bia moja
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniacha hoi aise
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniacha hoi aise
Ndio hivo Mkuu unakuta time imefungwa goli la mkono kapteni katolewa MTU anakupigia mayowe ngumi inaruka yenyewe tuu maana hakuna namna
 
Yeboyebo mna bahati tulikuwa 10 uwanjani, vinginevyo mngekula za kutosha ila mmalizieni refa hela yake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom