Ligi Kuu Bara yarejea kwa kishindo

Ligi Kuu Bara yarejea kwa kishindo

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
mwandui_fc.png VS Young_Africans_SC_(logo).png

Ni miezi mitatu imepita toka ligi yetu pendwa isimamishwe kutokana na janga la corona.

Ni rasmi sasa kesho ligi inakwenda kuendelea ili kumalizia mechi zilizobakia, miamba kutoka mkoani Shinyanga Mwadui fc watakapo wakaribisha mabingwa wa kistori wa ligi kuu Tanzania bara, Dar young Africans.

Utabiri wangu mechi hii ni ngumu sana inakwenda kuisha kwa sare ya kutofungana.
👇👇👇👇👇👇
 
Washikaji hatimaye wameshafika siyo, ile safari ndefu aisee
 
Back
Top Bottom