Miss you Dada!Goal 2 hatuna cha kupoteza...roho nyeupeeeee
Acha woga Mkuu,wanawake tuko ngangari namna gani wewe bwana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me more kipenzi [emoji8]Miss you Dada!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunasubiri reaction kutoka kwa kamati ya saa72.
Wakuzaliwa mamaNawe ni Yanga mpendwa? [emoji39]
Katika game ambazo yanga anapata wakati mgumu mojawapo ni vs Mwadui ila kwa leo point tatu ni muhimu zaidi..2-1,2-0.
Asante ma [emoji8]Wakuzaliwa mama
Habari yako twin. Nimepita tu kukusalimiaMe more kipenzi [emoji8]
Karibu......Asante ma [emoji8]