Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hii gap ya point moja itawatesa sana wa Matopeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri Le super twinito,sijui wewe mpendwa.Habari yako twin. Nimepita tu kukusalimia
Nimechelewa kuipata raha hii loh! Najuta kuwa out.Yani hii weekend tamu jamani! Jana Simba kafungwa leo tumefunga...
Mungu atupe nini Wanayanga?
heshima kitu cha bure naomba muache ndugu yangu,yupo eneo korofi kwa sasa,ligi ikianza ndio atarudi ujibizane naeSembo over....
Hahahahahaa ....kumbe Jana mnyama jike alifungwaaa.Yani hii weekend tamu jamani! Jana Simba kafungwa leo tumefunga...
Mungu atupe nini Wanayanga?
Ilikuwa raha ya aina yake.Nimechelewa kuipata raha hii loh! Najuta kuwa out.
Huo sio upenzi...unafeli ujue jirani?Nipo Dada. Nlikuwa nasubiri tuwe kwenye position yetu.....
Daimambele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jana Simba jike kaolewa kwa hongo ya lambalamba 1Hahahahahaa ....kumbe Jana mnyama jike alifungwaaa.
Wakikujibu nishtue mkuu. [emoji39]mechi ijayo ya yanga sc anacheza na nani....sina ratiba wakuu!