Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Wenye ubingwa wao wamerejea kileleni rasmi
Waliotangulia na baiskeli ya mabua wamenasa kwenye matopeni
 
Kwani veeepe!?
FB_20170129_18_30_09_Saved_Picture.jpg
 
chirwa.jpg


asante obrey chirwa kwa kufunga magoli mwishoni othwerwise vyura wangeondoka uwanjaan mapema
huu mchezo hauitaji hasira wa kimataifa sasa mtuache yanga raaaaha
 
mechi ijayo ya yanga sc anacheza na nani....sina ratiba wakuu!
 
Back
Top Bottom