Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Me sio nzuri kwa kweli teh, Bocco si mtu mzuri kabisaNzuri Le super twinito,sijui wewe mpendwa.
Asante
Tatizo figisu figisu nyingi mnoo....ndio maanaHuo sio upenzi...unafeli ujue jirani?
Haha na mlivyo na fujo, mbona ninalo. Haya teseni bana kwa raha zenu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiii pole jamani
Mimi na mama yako espy kwetu ni burudani tu.
mechi ijayo ya yanga sc anacheza na nani....sina ratiba wakuu!
Wakikujibu nishtue mkuu. [emoji39]
Yanga 2 - 0 mwadui
Naona mliemuaga kawaingiza cha kike [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usikimbie tu.. tumeaga kwetu shinyanga tunaenda kazini..
Shukraan mkuu.Yanga anacheza na Stand United jijini Dar
Simba anacheza na Majimaji huko Songea.
Kwa ratiba za mwanzo ilikuwa Yanga acheze Tarehe 1 Feb 2017 na Simba tarehe 2 Feb 2017.
Ila kwa mabadiliko ambayo siyo confirmed ni kuwa Simba ataanza tarehe 4 siku ya Jumamosi na Yanga atakipiga tarehe 5 Siku ya Jumapili
CC: Nifah
Asante mkuuYanga anacheza na Stand United jijini Dar
Simba anacheza na Majimaji huko Songea.
Kwa ratiba za mwanzo ilikuwa Yanga acheze Tarehe 1 Feb 2017 na Simba tarehe 2 Feb 2017.
Ila kwa mabadiliko ambayo siyo confirmed ni kuwa Simba ataanza tarehe 4 siku ya Jumamosi na Yanga atakipiga tarehe 5 Siku ya Jumapili
CC: Nifah
mkuu hapa jangwani kumeanza kupambwaTunaomba tukabidhiwe ubingwa wetu
Na kweli sijasumbuliwa, ila Mimi naona pamoja na kutuzidi pointi moja ila kwa kutumia jicho la tatu tumewazidi pointi mbili.Nami naomba Masuke asisumbuliwe
Hahahaaaa
Hizo ni imani za mgonjwa mahututi kupata nafuu...endelea kujifariji.Na kweli sijasumbuliwa, ila Mimi naona pamoja na kutuzidi pointi moja ila kwa kutumia jicho la tatu tumewazidi pointi mbili.
By the way tumepotezana sana. Kwema?
Tutawafunga, halafu mtatoa draw na Azam. Logically ni kama pointi NNE na sio mbili tena.Hizo ni imani za mgonjwa mahututi kupata nafuu...endelea kujifariji.
Kwema mkuu.