Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Nawezaje kudanganya Mkuu?
Kama wewe Yanga mwenzangu karibu wine [emoji39]
Ndio tumesharudi kileleni
Cheers [emoji485]
Hapo uliposema kileleni nimepata mfadhaiko...
 
Kamati ya SAA 72 watakubali huu ushindi wa Yanga? Au huyu mwanadada anayechezesha kati atapewa onyo kama siyo kuondolewa!!!!
 
Dk 75, Salum Khamis anapiga shuti la kwanza langoni mwa Yanga lakini Dida anadaka kwa ulaini kabisa hapa
 
Dah bora, Asante Chirwa umetuokoa baba. Weekend ingeisha vibaya hii. Tungewapa mikia la kuongea. Bora waendelee kukaa mafichoni hakuna namna.

Yanga daima mbele, nyuma mwiko kama mkia.
Ungeniona nilivyoshika shavu ungetoa chozi la huruma.
Chirwa kayarudisha mapigo yangu ya moyo sawa.
 
Dk 78 sasa, Mwadui wanaonekana angalau kulishambulia lango la Yanga. Lakini hakuna mashambulizi makali yanayoweza kuwatikisa Yanga
 
Namna gani Msuva pale?Aaaaarrrrgghhh
Chirwa nae tena
Tunakosa mabao mawili ya wazi hapa
Daaaamn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…