Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Sasa unamwambia kitu au unamuuliza kitu?Kwann unaipenda yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unamwambia kitu au unamuuliza kitu?Kwann unaipenda yanga?
Hahahaha! Mimi ni bonge la yangaNawezaje kudanganya Mkuu?
Kama wewe Yanga mwenzangu karibu wine [emoji39]
Ndio tumesharudi kileleni
Cheers [emoji485]
Hapo uliposema kileleni nimepata mfadhaiko...Nawezaje kudanganya Mkuu?
Kama wewe Yanga mwenzangu karibu wine [emoji39]
Ndio tumesharudi kileleni
Cheers [emoji485]
Ungeniona nilivyoshika shavu ungetoa chozi la huruma.Dah bora, Asante Chirwa umetuokoa baba. Weekend ingeisha vibaya hii. Tungewapa mikia la kuongea. Bora waendelee kukaa mafichoni hakuna namna.
Yanga daima mbele, nyuma mwiko kama mkia.
Kwann unaipenda yanga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante Mkuu.Sasa unamwambia kitu au unamuuliza kitu?
Karibu Robertson [emoji485]Hahahaha! Mimi ni bonge la yanga
Kaka si vyema kudakia manenoSasa unamwambia kitu au unamuuliza kitu?