Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Ombi: Members msikimbilie kufungua nyuzi za Live Update kama hamuwezi kuleta hizo update. Mnakera sana
 
Dk 12, Kado yuko chini akipatiwa matibabu

Dk 10, Mwadui wanafanya kazi ya ziada kuokoa, inakuwa kona na Yanga wanapiga. Hakuna kitu
 
Dk 16, Mwadui FC wanaonekana wakiwa wametulia, angalau wanagonga hata pasi tano. Lakini Yanga wanaendelea kufika langoni mwa Mwadui FC
 
Katika game ambazo yanga anapata wakati mgumu mojawapo ni vs Mwadui ila kwa leo point tatu ni muhimu zaidi..2-1,2-0.
 
Yanga wasiposhinda leo... kufungwa kwa mbux3 fc jana kutakuwa hakujawasaidia kitu.
 
Back
Top Bottom