Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Dk 31, Mustappha anatoa mpira nje, inakuwa kona langoni kwa Mwadui FC

Dk 26, Kado anafanya kazi ya ziada, anaruka na kuudaka mpira wa Zulu

DK 20 sasa, Mwadui FC wanaonekana wamejipanga kujilinda sana na mashambulizi ya kushitukiza
 
KADI Dk 37, kadi ya kwanza ya njano, Aiye wa Mwadui FC anazawadiwa baada ya kumfanyia madhambi Yondani

Dk 35, bado mpira unachezwa katikati ya uwanja zaidi
 
Kwann mvua isinyeshe kandambili zikatike kwenye tope???
 
Fundi Niyo anawainua uwanja mzima kwa Manjonjo Yake. Hadi mwadui fans wanasimama kuonyesha heshma yao kwa Mtaalamu haruna Niyonzima
 
DAKIKA 2 ZA NYONGEZA

Dk 45, Yondani analazimika kupiga kichwa akiokoa krosi ya Kabunda. Kona ya pili kwa Mwadui, Kona ya Seseme, Dida anadaka kwa ulaini

Dk 44 sasa, Mwadui wanaendelea kugongeana vizuri lakini katikati ya uwanja

Dk 42, Dida anatoka nje na kuutoa mpira, inakuwa konaa ya kwanza ya Mwadui FC

Dk 41, Malika tena anaokoa mpira na kuwa kona. Inachongwa, Kamusoko anaunganisha shuti kali lakini goal kick

Dk 40, Malika anafanya kazi ya ziada kuokoa krosi ya Msuva, inazaa kona hapa. Yanga wanaichonga lakini haina faida
 
Back
Top Bottom