Sam Gidori
Senior Member
- Sep 7, 2020
- 165
- 417
Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
United inahitaji sana kushinda katika mchezo kwani Jumapili ya tarehe 7 ina kibarua kizito katika mchezo wa Manchester Derby dhidi ya vijana wa Pep Guardiola, Manchester City wenye rekodi nzuri ya kutopoteza mchezo kwa muda mrefu
Katika mchezo huo Kocha wa Utd, Ole Gunnar Solskjaer anatarajia kuwakosa wachezaji wake wawili muhimu akiwemo Paul Pogba na Phil Jones ambaye anaweza kurejea uwanjani msimu ujao kufuatia hali yake ya majeraha.
Michezo mingine itakayopigwa leo ni kati ya Burnley dhidi ya Leicester City na Sheffield United dhidi ya Aston Villa saa tatu usiku.
MATOKEO
FULL-TIME
Crystal Palace 0- 0 Manchester United
Sheffield United 1- 0 Aston villa
Burnley 1- 1 Leicester city