Uganda wamemaliza ligi Congo Nigeria Sudan Morocco Ghana n.k
Zambia walishamalizaUnajiaandikia tu, uganda pekee ndio kashamaliza ligi
Alafu sasa hii ishu ya kuwapa watu time eti timu ya taifa ijiandae ni ujinga.Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa.
Mwaka jana timu ya taifa iliitwa week na kitu kabla ya mashindano na tukakosa kushiriki mashindano ya kimataifa vile vile.
Ligi inasimama mpka inakera. Jiulize kwa nn ligi nchi nyingi Duniani zimeisha lakini Tanzania bado mpaka mwezi wa saba.
Na wa nane ligi ya mabingwa inaanza ina maana wachezaj hawapati muda wa kupumzika kabisa.
Wale wa preliminary stage mnalo๐๐๐๐Ili Ligi yetu iwe inaisha kwa wakati ni lazima TFF IBADILIKE katika kuita timu ya taifa.