LIGI KUU: Msimamo ulivyo baada ya Yanga kuifunga Azam FC, Simba yazidiwa pointi 14

LIGI KUU: Msimamo ulivyo baada ya Yanga kuifunga Azam FC, Simba yazidiwa pointi 14

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022.

Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.

Msimamo.jpg
 
Kuna Timu hata pont 40 haijafikisha, wanaume Wana 51 Ila bado wanaota kuchukuwa ubingwa... Nawacheka kwa Dharau..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama hao ni wanaume na timu zinazopambana klabu bingwa Africa watakuwa akina Nani?

Ushindi wenyewe na dukani,
lakini vitambo kibao.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kwa hapo bado point ngapi atangazwe kuwa bingwa au hadi ligi iishe?
 
Kwa hapo bado point ngapi atangazwe kuwa bingwa au hadi ligi iishe?
Yanga Ana uwezo wa kufikisha pointi 84 na Simba Ana uwezo wa kufikisha pointi 76...
Sasa tuendelee kupinga hesabu...
Ina maana kwa pointi kama Yanga akifikisha 77 ni bingwa.
Lakini itategemea matok
eo ya michezo iliyobaki...
Yanga amebakiza mechi 11 na Simba amebakiza mechi 13...
Haya endeleeni kupiga hesabu
 
Tunahitaji ponti 26 ili tutangazwe ubingwa au tunahitaji, kushinda mechi 8 na draw 2 , au kushinda mechi 9 tuwe machampioni
 
Yanga Ana uwezo wa kufikisha pointi 84 na Simba Ana uwezo wa kufikisha pointi 76...
Sasa tuendelee kupinga hesabu...
Ina maana kwa pointi kama Yanga akifikisha 77 ni bingwa.
Lakini itategemea matok
eo ya michezo iliyobaki...
Yanga amebakiza mechi 11 na Simba amebakiza mechi 13...
Haya endeleeni kupiga hesabu
Shukrani sana hapo nimekupata.
 
Naona ngoma bado mbichi me nilijua bado kidogo tu wabebe ubingwa.
 
Kwa sasa hutoskia zile kauli
1: nyie kawaida yenu kuongoza ligi kombe tunabeba sisi.

2:hata msimu uliopita ilikuwa hivyo hivyo kombe tulichukua sisi.

3:yanga kawaida yao mzunguko wa pili wanakata pumzi.

Naona sasa wimbo umegeukia huku.

1: focus yetu ni kimataifa huko ligi ya mbuzi hatuna Time nayo.

2: nyie chukueni kombe la mbuzi wanaume tunawakilisha kimataifa.

3: yanga bila kununua mechi hamshindi..

hao ndio makolo bwana..
 
Simba Ina viporo viwili Leo inaaza kuvitafuna harafu tarehe 30 mwezi huu nifunga kazi
 
Naona ngoma bado mbichi me nilijua bado kidogo tu wabebe ubingwa.
Kabisa kabisa....ngoma bado mbichi kabisa...kwa michezo 11 iliyobaki na Kama atashinda yote Yanga atapata pointi 33....Simba and michezo 13 na uwezo wa kupata pointi 39 akishinda yote....kwenye mechi ya Simba na Yanga Kama Yanga atapoteza atakuwa na uwezo wa kupata pointi 30 kwa michezo 10 iliyobaki Kama atashinda yote...Simba naye akipoteza dhidi ya Yanga anaweza kupata pointi 36 kwa michezo 12 iliyobaki ukiwemo na mchezo wa Coastal unaochezwa hivi karibuni.
 
Mabingwa wa mabwawani hahaaaa. Yani mnatia huruma sana msingepata ubingwa mwaka huuu mngekufa maana miaka 4 mmefeli
 
Back
Top Bottom