JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kama hao ni wanaume na timu zinazopambana klabu bingwa Africa watakuwa akina Nani?Kuna Timu hata pont 40 haijafikisha, wanaume Wana 51 Ila bado wanaota kuchukuwa ubingwa... Nawacheka kwa Dharau..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unateseka ukiwa wapi kiongoziKama hao ni wanaume na timu zinazopambana klabu bingwa Africa watakuwa akina Nani?
Ushindi wenyewe na dukani,
lakini vitambo kibao.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Yanga Ana uwezo wa kufikisha pointi 84 na Simba Ana uwezo wa kufikisha pointi 76...Kwa hapo bado point ngapi atangazwe kuwa bingwa au hadi ligi iishe?
Tunahitaji ponti 26 ili tutangazwe ubingwa au tunahitaji, kushinda mechi 8 na draw 2 , au kushinda mechi 9 tuwe machampioniYanga Ana uwezo wa kufikisha pointi 84 na Simba Ana uwezo wa kufikisha pointi 76...
Sasa tuendelee kupinga hesabu...
Ina maana kwa pointi kama Yanga akifikisha 77 ni bingwa.
Lakini itategemea matok
eo ya michezo iliyobaki...
Yanga amebakiza mechi 11 na Simba amebakiza mechi 13...
Haya endeleeni kupiga hesabu
Shukrani sana hapo nimekupata.Yanga Ana uwezo wa kufikisha pointi 84 na Simba Ana uwezo wa kufikisha pointi 76...
Sasa tuendelee kupinga hesabu...
Ina maana kwa pointi kama Yanga akifikisha 77 ni bingwa.
Lakini itategemea matok
eo ya michezo iliyobaki...
Yanga amebakiza mechi 11 na Simba amebakiza mechi 13...
Haya endeleeni kupiga hesabu
Naona ngoma bado mbichi me nilijua bado kidogo tu wabebe ubingwa.Yanga Ana uwezo wa kufikisha pointi 84 na Simba Ana uwezo wa kufikisha pointi 76...
Sasa tuendelee kupinga hesabu...
Ina maana kwa pointi kama Yanga akifikisha 77 ni bingwa.
Lakini itategemea matok
eo ya michezo iliyobaki...
Yanga amebakiza mechi 11 na Simba amebakiza mechi 13...
Haya endeleeni kupiga hesabu
Gendermarie nayo timu basi ile au ni makolo tu kama mlivyoKama hao ni wanaume na timu zinazopambana klabu bingwa Africa watakuwa akina Nani?
Ushindi wenyewe na dukani,
lakini vitambo kibao.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kabisa kabisa....ngoma bado mbichi kabisa...kwa michezo 11 iliyobaki na Kama atashinda yote Yanga atapata pointi 33....Simba and michezo 13 na uwezo wa kupata pointi 39 akishinda yote....kwenye mechi ya Simba na Yanga Kama Yanga atapoteza atakuwa na uwezo wa kupata pointi 30 kwa michezo 10 iliyobaki Kama atashinda yote...Simba naye akipoteza dhidi ya Yanga anaweza kupata pointi 36 kwa michezo 12 iliyobaki ukiwemo na mchezo wa Coastal unaochezwa hivi karibuni.Naona ngoma bado mbichi me nilijua bado kidogo tu wabebe ubingwa.