Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Ushindi wa simba leo ni droo.Nakusogezea live updates kutoka mwanza ccm kirumba katika ya Mbao fc vs Simba sc
Je Mbao itaizibiti Simba leo
Dakika ya ngap
Mbao FC 0 - 0 Simba SC
Ndo unamaanisha nini? huwezi kutoa matokeo sio lazima upost sio wote tunaangalia mpira.Mambo Tayari yamenogaaaaaa
Fukuza bench I lote la ufundi hawasaidii timu kuna sababu ipi ya kumuanzisha Manyika au kuwaacha nje mavugo na ajibu na mkude kwenye mechi crucial Kama hi?Simba IMARA.
Simba kishakojolewa kimoja...Ndo unamaanisha nini? huwezi kutoa matokeo sio lazima upost sio wote tunaangalia mpira.
Mbona povu Simba wa pori la msimbazi mshapigwa moja tayariNdo unamaanisha nini? huwezi kutoa matokeo sio lazima upost sio wote tunaangalia mpira.