Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Mbona povu Simba wa pori la msimbazi mshapigwa moja tayari
Heheheheeh

Fight.gif
 
Wamezoea kuhonga hao, bila kutembeza Mpesa hawashindi nyambaf zao, dakika ya 90 utasikia mchezaji wa mbao Fc mwenye kadi 3 za njano anaingia then mikia wanazawadia point 3 za mezani tena! Nyambaf kabisa!
 
Hasira za upuuzi aliongea Roma + Simba akifungwa leo = Kesho naamkia ICU
 
Hasira za upuuzi aliongea Roma + Simba akifungwa leo = Kesho naamkia ICU
 
Back
Top Bottom