Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Wamezoea kuhonga hao, bila kutembeza Mpesa hawashindi nyambaf zao, dakika ya 90 utasikia mchezaji wa mbao Fc mwenye kadi 3 za njano anaingia then mikia wanazawadia point 3 za mezani tena! Nyambaf kabisa!
 
Hasira za upuuzi aliongea Roma + Simba akifungwa leo = Kesho naamkia ICU
 
Thimba ubingwa umewashinda nyambafu ninyi. Tena bado nechi ya toto africa lazima mkalie msumari wa moto
 
Go simba go!
Go on plummeting to third position!
 
Hasira za upuuzi aliongea Roma + Simba akifungwa leo = Kesho naamkia ICU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…