Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL): Azam FC yashindwa kung'ara nyumbani yabamizwa goli 2 -1 toka kwa Yanga SC

Hujawahi ingia uwanjani kukutana na haya maneno
Itakuwa.
Maana Uwanjani Maneno Yao.Mmmhh!!! Mama Anatukanwa Umo Bila Sababu Yaani
Alafu Kuna Kuwa Na Marefa Wawili Yule Wa Dimbani Na Awa Wa Majukwaani Ila Awa wa Majukwaani Wanaujua Wao Mpira Na Sheria Zote Za Mpira.
Furaha Yao Ukisimama Upande Wao Ukiyumba Tuuh Matusi Yote Yataishia Mwilini Mwako.
 
Ila Azam Wanacheza, Wanapiga Mpira
Japo Leo Nilikuwa Upande Wa Watani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…