Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Unajipa moyo tu,msimu uliopita mlitangulia kwa point 12,lkn mwisho wa msimu mkakimbilia fifa,hili gari la Yanga ndio lishawakaMtani leo akishinda itakua safi kwetu Simba, maana Azam anatufukuza kwa kasii