barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Safi sana.Dah! Yanga inafanya vitu vya kuipendeza Simba[emoji16]
Apigwe yoyote hapa faida kwa mnyama. Alipigwa Azam points kwa mnyama akipigwa Yanga mtaani kutakuwa salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana.Dah! Yanga inafanya vitu vya kuipendeza Simba[emoji16]
Yanga Fc piga hao mbwa Azam warudi kwa Bhakresa wakauze unga wa ngano na juice zilizo expireWoyooooo
Acha ujinga, huwezi waita mbwa binadamuYanga Fc piga hao mbwa Azam warudi kwa Bhakresa wakauze unga wa ngano na juice zilizo expire
ShunieWoyooooo
Nyamaza wewe binti kiziwi wa yangaAcha ujinga, huwezi waita mbwa binadamu
AZAM ni kama wanawake Malaya wakiona bia wanaanza kujichekeshaIce cream Azam leo zinayeyuka
Huko aliko anazomea
SawaHuko aliko anazomea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nawatakia ushindi mnono yeyote atakayeshinda.
Basi sawa, pole sana mkuu!!Nimejiuzulu kuishabikia Yanga kuunga mkono Juhudi za Azam kuchukua ubingwa.. Kila la kheri Azam FC
Yanga wanahakikisha wanampigania MME wao Mnyama, ndio uzuri wa mke bora huu.Mtani leo akishinda itakua safi kwetu Simba, maana Azam anatufukuza kwa kasii
UnauuumwaYanga 0 Azam 2
Yanga 0 Azam 2
Eti simba wako yanga leo subutuuu limewachea yanga hao wanakuja kasiYanga wameuza mechi eti kuikomoa Simba, mnyama hatehemei mtu, ni piga tu yeyote wa mbele.