Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
huu mpira wanaopiga yanga siyo wa nchi hii...tactical master class...simba kakimbia mwitun kulaleki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuYanga rekodi inambeba na wachambuzi wengi wanampa uwezekano mkubwa wa kushinda katika mchezo wa leo
isije ikawa wewe ndo huyo mleviWachambuzi wengi wanaipa Yanga nafasi ya kushinda.....alisikika mlevi mmoja akisema haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni simba, tumeshinda ila sijavutiwa na mpira wa simba. Kama wewe umeona wanacheza mpira mzuri basi umepumbazwa na ushabiki.Ungelihifadhi haya maneno [emoji196]
Nyie mikia kumbe tunawamdu vizuri tu.!
Japo ni kimoja ila mmetuzalia watoto watatu muhimu
Hivi wewe kwa kipindi cha kwanza unaona kuna mpira s8mba waliocheza?Upo sahihi [emoji196]
yanga wakirudisha goli najitoa JF