Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Nawawaza wale wanaokuwaga na mavyakula uwanjani. Sijui washavimwaga. ๐ ๐ ๐ ๐Wajue kuwa sio kila kiporo kinapashwa kikapashika na kulika.
Kazi wanayo, magoli mawili sio mchezo.
Wakishambulia Kagera wanapata nafasi ya kufunga