Hahahaaa. Nawawaza wale wanaokuwaga na mavyakula uwanjani. Sijui washavimwaga. π π π πWajue kuwa sio kila kiporo kinapashwa kikapashika na kulika.
Kazi wanayo, magoli mawili sio mchezo.
Wakishambulia Kagera wanapata nafasi ya kufunga
Washabiki bagia hao. Hadi timu ishinde ndo wanakuja. Hovyo kabisaKama namuona Mtani wangu mmoja hivi. Anaitwa Tui. π π
Ikitokea wakashindaa. Sijui atakuja na mashushu yapi.
Watakuwa walivitupa kwa hasiraHahahaaa. Nawawaza wale wanaokuwaga na mavyakula uwanjani. Sijui washavimwaga. π π π π
Nacheka kama mazuri. π πWatakuwa walivitupa kwa hasira
Ohooooo mbona hawa kagera wameanza ujingaMpira unaedelea dakika 67
Kagera 2 - 1 Simba
Lazima wakae maana ni wenye hurumaOhooooo mbona hawa kagera wameanza ujinga
Hahaa DahLazima wakae maana ni wenye huruma
Au umewasahau wahaya?Hahaa Dah
Hahaa ndo mana nikacheka mkuu mana nawafahamu vyemaAu umewasahau wahaya?
Bado dakika ngapi?Chama anakosa kosa goli hapa
Shooga eti wameongezewa 5mins wakati hata mpira haujasimama simama.Kwani huo mpira haujaisha tu wajameni? Wengine tumeshikilia shampeni [emoji898] hapa tunataka tuanze sikukuu mapema. [emoji23][emoji23][emoji23]
Shooga eti wameongezewa 5mins wakati hata mpira haujasimama simama.