Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Simba Nguvu Moja Daima. Matokeo yoyote ya mechi zetu lazima tuyapokeee Ubingwa uko pale pale wala msihofu.
 
Kwani huo mpira haujaisha tu wajameni? Wengine tumeshikilia shampeni [emoji898] hapa tunataka tuanze sikukuu mapema. [emoji23][emoji23][emoji23]
wololololololo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
huyo refa mpuuzi kipindi cha pili chote alikuwa anafanya shughuli moja tu...kuwatoa Kagera mchezoni..

Bila shaka yeye muamala ulifanikiwa
Yanga akiwa kileleni mwa ligi hivi Sasa


Punguza mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…