Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Simba Nguvu Moja Daima. Matokeo yoyote ya mechi zetu lazima tuyapokeee Ubingwa uko pale pale wala msihofu.
 
Network ya mpesa na mitandao mingine ilizimwa hapa Bukoba,Asante Tcra kwa ushirikiano
Sawa

Ila ukiangalia vizuri hapo kwenye box hamna msimba wala buku 5 zaidi ya vi buku buku na ukicheki ngoma bado haijajaa ndo kwanza hata robo haijafika
255765582837_status_26f7b454035c455e8b9f076c07074fe1.jpeg
 
Kwani huo mpira haujaisha tu wajameni? Wengine tumeshikilia shampeni [emoji898] hapa tunataka tuanze sikukuu mapema. [emoji23][emoji23][emoji23]
wololololololo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
huyo refa mpuuzi kipindi cha pili chote alikuwa anafanya shughuli moja tu...kuwatoa Kagera mchezoni..

Bila shaka yeye muamala ulifanikiwa
Yanga akiwa kileleni mwa ligi hivi Sasa


Punguza mdomo
50879411_2216740321870912_840662955392499712_n.jpeg
 
Back
Top Bottom