Ligi kuu Tanzania bara leo tarehe 30.9.2017

Ligi kuu Tanzania bara leo tarehe 30.9.2017

Kwani Tshitshimbi hayupo leo? hah hah hah adui muombee njaa
 
Mbeleko ya malinzi kukatwa sasa effect yake ni very clear
Hata hizo enzi za Malinzi, Simba walikuwa katika nafasi ya juu zaidi (wakiongoza Ligi) na Yanga walikuwa katika nafasi ya chini zaidi kuliko ilivyo msimu huu kwenye raundi kama hii. Ina maana Karia amekuja kuibania Simba na Malinzi bado anaibeba Yanga?
 
Yanga sc vs Mtibwa sugar
Singida Utd vs azam fc
Mbao fc vs Tanzania prison
Mwadui vs Mbeya city
Ndanda fc vs Lipuli
Ruvu shooting vs Njombe mji
Maji Maji vs kagera sugar
Tutakuwa pamoja kwenye mechi zote kupeana matokeo na updates zote zinazojiri
Njombe mjo matokeo vipi ?naomba kujuzwa
 
Back
Top Bottom