Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa kama hakuna wanachokifanya Yanga hao Mtibwa wanashindwa vipi kuifunga Yanga?Yanga tunaruka ruka tu hapa ,hakuna cha maana tunachokifanya
Siku hizi rahaMan U 2 - C Palace 0
Safi sanaDk 80: Singida 1 Azam 0
WamechomoaSafi sana
Ahsante kwa taarifa mkuuDk 3 nyongeza Singida na Azam
Nasikia kakimbia na dereva fulani kwenda border ya kaskazini.Kwani Tshitshimbi hayupo leo? hah hah hah adui muombee njaa
Neno lako linachoma sana, sidhani kama wataamini kinachotokea kwa sasa dahMbeleko ya malinzi kukatwa sasa effect yake ni very clear
Jangwani wamezoea ushindi hasa wanapocheza uwanja wa nyumbani, sijui hali itakuwaje kwenye viunga vya kahawa pale kwenye himaya yao dahMchezo umemalizika Yanga na Mtibwa 0-0
Hata hizo enzi za Malinzi, Simba walikuwa katika nafasi ya juu zaidi (wakiongoza Ligi) na Yanga walikuwa katika nafasi ya chini zaidi kuliko ilivyo msimu huu kwenye raundi kama hii. Ina maana Karia amekuja kuibania Simba na Malinzi bado anaibeba Yanga?Mbeleko ya malinzi kukatwa sasa effect yake ni very clear
Ngoja tushughurike na Lwanda kwanzaJangwani wamezoea ushindi hasa wanapocheza uwanja wa nyumbani, sijui hali itakuwaje kwenye viunga vya kahawa pale kwenye himaya yao dah
Njombe mjo matokeo vipi ?naomba kujuzwaYanga sc vs Mtibwa sugar
Singida Utd vs azam fc
Mbao fc vs Tanzania prison
Mwadui vs Mbeya city
Ndanda fc vs Lipuli
Ruvu shooting vs Njombe mji
Maji Maji vs kagera sugar
Tutakuwa pamoja kwenye mechi zote kupeana matokeo na updates zote zinazojiri