Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Haijalishi hiyo Mtani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi hiyo Mtani.
Kwani Simba hana Mkia Mtani?
Na kama kipindi hii mumetupa mengi sana aisee mpaka ya vitu vya jikoni aiseee.Kwani tumeyakataa, ndo tumeshayakubali.
Na nyinyi msilalamike pia majina yenu.
Na kama kipindi hii mumetupa mengi sana aisee mpaka ya vitu vya jikoni aiseee.
sawa
kawaida yaoWamezowea zile kauli za Vijiweni. 😅😅
KumbeGame tunashinda 3-1
Sent using Jamii Forums mobile app