Uchawi huooo.
Uchawi huooo.
Hahahaaa. Nyie tu ndio munahangaika naye.Mchawi mwenzangu ni Zahera aliyeikimbia Timu yenu kaenda Kuhamia kwa As Vita ]emoji23 [emoji23][emoji23]
Unacheka nini sa?
MMMHHH.
WACHOKOZI WASHAFIKA. 😔
Hahahaaa. Nyie tu ndio munahangaika naye.
Sijaona kibaya alichofanya hasa ikiwa kama msemavyo kikosi chenu ni bora.
Hivi kweli Zahera amebaki dar kwenye kambi ya AS VITA?Mchawi mwenzangu ni Zahera aliyeikimbia Timu yenu kaenda Kuhamia kwa As Vita [emoji23] [emoji23][emoji23]
NOEL MWANDILAMtani kocha ni nani leo?
Nasikia Zahera anapiga part-time AS Vita.
Kwani kuna tatizo kusalimiana na WACONGO wenzie?Sasa kambini kwa Watu kaenda kufanya nini wakati yeye anatimu Yake ipo kwenye Ligi?