Ligi Kuu Tanzania Bara: Lipuli FC vs Yanga SC Kutoka dimba la Samora Iringa Machi 16-2019

Timu yangu ya nyumbani a.k.a wanapaluhengo sasa hivi wako on🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kwani kuna tatizo kusalimiana na WACONGO wenzie?

Umeona wapi wewe jambo kama hilo?
Ingelikuwa ni Yanga ndiyo knayocheza na Vita angdliiacha Yanga Kambini akaenda kuwasilimia Vita (Wkongo wenzake)?
 
Ukisikia kutoa update ndio huku sasa....safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…