Sikuelewi ujue Mtani? Au ndio presha ya saa 1
Eti eeee?
Hata hunishawishi.
[emoji23][emoji23]waruke kwa madoidoVyura mmeongezewa dakika 7 za kurukaruka... zitumieni hizi!π
Kuna Wacongo wengn sinza wanasuka nywele mbona hajaja kuwasalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Anadandia lift ya ndege kwenda Congo.. itakuwa nauli hanaYani Zahera kaikomalia As Vita utadhani yeye ndiye CEO wa Vita
π‘π‘π‘Vyura mmeongezewa dakika 7 za kurukaruka... zitumieni hizi!π