Mkuu vipi ushafika kwa mkapa??Waongeze hata dk 30
Eti kocha amebaki Dar anawasilima wakongo wenzake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watasema LIPULI wamenunua mechi... hawakosi sababuBado Azam na Mtibwa
Mda wote kujipendekeza kwa timu za nje ili Simba ifungwe. Haya vaeni jezi za Vita.
Nye vyura kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anadondosha zingine 6. Adam wana spidiBado Azam na Mtibwa
Mda wote kujipendekeza kwa timu za nje ili Simba ifungwe. Haya vaeni jezi za Vita.
Nye vyura kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Zahera bwana kaweka rehani timu yake kwa ajili ya vita iifunge simbaMungu anajua kuwalipa wanafiki. Safi sana Matola