Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 3 leo tar. 19/09/2015 live updates

Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 3 leo tar. 19/09/2015 live updates

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Ratiba ya leo tar 19/09/2015

Stand United vs African Sports (kambarage -Shinyanga)

Mgambo Jkt vs Maji Maji (Mkwakwani- Tanga)

Prisons vs Mbeya City ( Sokoine-Mbeya)

Young Africans vs Jkt Ruvu (uwanja wa Taifa- Dar es salaam)

Tuwe wote hapa kutoka viwanja mbalimbali, utakuwa nami hapa mkolaj, cnjona, Makoye Matale, na wadau wengine kama akina Deo corleone, OKW BOBAN SUNZU, Katavi, Sembo na Bantu lady.
 
Deo corleone bado upo kwa mkopo azam ama usharud kwa wanalizombe,ligi ilopita ulituombea njaa sana wana jangwan ukashindwa
 
Deo corleone bado upo kwa mkopo azam ama usharud kwa wanalizombe,ligi ilopita ulituombea njaa sana wana jangwan ukashindwa
Nadhani atakuwa amerudi kwao kwa Wanalizombe.
 
majimaji 1-0 jkt
mcc 3-0 jkt
yanga 6- 0 jkt.
 
kikosi cha yanga leo vs jkt ruvu 1. barthez 2. twite 3. mwinyi 4. yondan 5. canavaro 6. kamusoko 7. msuva 8. niyonzima 9. tambwe 10. ngoma 11. kaseke
 
Yanga na jkt ruvu.......wanarukaruka tu hapa
 
Mkuu Makoye Matale hua tunakutegemea sana hasa kwa mechi za Yanga
 
Back
Top Bottom