Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
HuoShadeeya njoo huku Bingwa wa nchi Simba sc yuko mawindoni View attachment 1032611
MajibuLabda draw ya kabati...
Tunashinda mkuu
Naona kama umesahau kua ulisema tumenunua mechi. Yaani tutoe pesa tununue draw sisi?
Hahaaaaaahaaa kudadeki leo tunapiga nje ndaniChamaaaaaaaaaa....
Lipuli 1 - Simba 2.. Dakika ya 44...
Nakazia tu Labda droo ya kabati TaterLinarud hilo ushindi wa simba droo