ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
HT..
Lipuli+Vyura 1 - Simba 2...
Lipuli+Vyura 1 - Simba 2...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanazingua kinoma, waendelee kujivuta sasaLipuli Baada ya kuchomoa goli wakaanza kupoteza muda kijinga
1 x 2 = 2HT..
Lipuli+Vyura 1 - Simba 2...
Simba saizi dozi yake ni kutwa mala 3. Last see ilikua ni Azam 3Simba hii mechi inatakiwa wapige mpira mkali wawapige hawa wala mbwa walau goli 4 za haraka haraka! Wasilegeze!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nicheke kwa saut halaf mbele za watu mkuu
Mkate huu mbona hata bila blueband unaliwa tu. Hofu yako iko wapi mkuu?Hii mechi ningumu kwetu sana wana simba
na kuna Kauzembe fulani kawacgezaji wa Kati
wanakuwa kama wazito
shukrani ziende kwa mwamuzi ww mechiHT..
Lipuli+Vyura 1 - Simba 2...
hata wenyewe wanatamani ivo sema uwezo uko chini sanaSimba hii mechi inatakiwa wapige mpira mkali wawapige hawa wala mbwa walau goli 4 za haraka haraka! Wasilegeze!
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani ziende kwa mwamuzi ww mechi
refa 2-1 lipuli
Ngapi ngapi
bora kutizama X sio refa anacheza na lipuliKachezeshe wewe..!!
Ngapi ngapi