Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ngapi ngapi kwani?Shadeeya njoo huku Bingwa wa nchi Simba sc yuko mawindoni View attachment 1032611
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngapi ngapi kwani?Shadeeya njoo huku Bingwa wa nchi Simba sc yuko mawindoni View attachment 1032611
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpira ukiisha stress zinarudi zotebwanaah bwanaah zitatokaa wapiii ...
Simba 3-Lipuli 1Nini kinaendelea humu Mtani?
Mauaji ya halaikiNini kinaendelea humu Mtani?
Nilikuambia hawa mabwege mtozeni lazima wafe. Kuibetia lipuli kwenye mechi hii ni wazi kabisa huna huruma na ela yakoThis is Simba bwana! Watu wanapigwa nyundo vyura mikeleleeee!!! Kama mlizoea kuwatumia muamala timu pinzani ni upoyoyo wenu, changishaneni sasa hilo bukubuku mnunue hadi kombe!!!!
Simbaaaaaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hakuna kitu kama hicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpira ukiisha stress zinarudi zote
Wouzeeerrrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] niheme sasa bado dk ngapi mpira uishe
We si umeokoka,Mpira ukiisha endelea kupiga vijoti![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpira ukiisha stress zinarudi zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]6BQ223V83BU Imethibitishwa Tsh1,000,000.00 imetumwa kwa 25574*****47 - ALLY MTONI Tarehe 26/2/19 saa 3:41 PM kwa ada ya Tsh22.00. Salio lako la M-Pesa ni Tsh3,730,000.60.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MkuuOoh. Thanks.
Endelea kuleta Updates Mkuu