Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs Gwambina, Simba wapata ushindi wa magoli 3 - 0

Simba imetimia kwakweli.mpaka beki wa kati msimu huu anatafuta ufungaji bora.

Hivi wanayanga wapo kwenye hii nchi,ama wamehama,maana siwaoni?
Huu mchezo kwa timu kama simba hua hauendeshwi kwa kufata itifaki, usishangae hadi manula kapiga hatrick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…