Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila TFF wanatukosesha burudani yani yani mechi moja tu kwa wiki dah!!
Wapoteze muda wakati wamefungwa?Gwambina wamecheza vizuri ila uzoefu umewaangusha. Awapotezi muda na wanacheza mpira.
Plan ya kulinda imewaokoa. Yanga walifunguka wakala nneGwambina wamecheza vizuri ila uzoefu umewaangusha. Awapotezi muda na wanacheza mpira.
Ata Simba msimu uliopita kitendo cha kujaribu kucheza na Yanga uku akifunguka aliambulia point moja Kati ya sita. Sasa ajaribu tena kufunuka tarehe 18 ndio siku kishingo atakayo fungasha virago.Plan ya kulinda imewaokoa. Yanga walifunguka wakala nne
Wanacheza vizuri kuliko yanga, si umeona hawajafungwa nneGwambina wamecheza vizuri ila uzoefu umewaangusha. Awapotezi muda na wanacheza mpira.
Yule mjuba mliye mbeba juu juu siku mnayo mtambulisha, mjiandae kumbeba tena baada ya gemu kuisha hiyo tarehe 18 maana kuna dalili zote za mtu kuzimiaAta Simba msimu uliopita kitendo cha kujaribu kucheza na Yanga uku akifunguka aliambulia point moja Kati ya sita. Sasa ajaribu tena kufunuka tarehe 18 ndio siku kishingo atakayo fungasha virago.
Unapotezaje mda wakati ushakula chumaGwambina wamecheza vizuri ila uzoefu umewaangusha. Awapotezi muda na wanacheza mpira.
Kwa timu hii au usajili wa dirisha dogo..?Hakuna wa kumzuia Yanga kuchukua ubingwa wa 28 msimu uu.Tarehe 18 mbumbumbu fc wanakwenda kutambua vile vilabu ni vya kustaafu soka.
Hakuna wa kumzuia Yanga kuchukua ubingwa wa 28 msimu uu.Tarehe 18 mbumbumbu fc wanakwenda kutambua vile vilabu ni vya kustaafu soka.
Na tukabeba vikombe vyote.Ata Simba msimu uliopita kitendo cha kujaribu kucheza na Yanga uku akifunguka aliambulia point moja Kati ya sita. Sasa ajaribu tena kufunuka tarehe 18 ndio siku kishingo atakayo fungasha virago.
4-1=3hii mechi simba anashinda 4-1
Lamda mbebe vikombe vya ujiNa tukabeba vikombe vyote.
Lamda mbebe vikombe vya ujiNa tukabeba vikombe vyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanacheza vizuri kuliko yanga, si umeona hawajafungwa nne
Bwalya huyu jamaa tumelamba dumeJinsi Bwalya anavyopiga Ruler Tanzania sijaona Striker wa kucheza Pasi ya Bwalya.
kocha hajajua fursa ya kumtumia Mugalu akiwa mbele ya Bwalya. siku akishtuka itakuwa balaaBwalya huyu jamaa tumelamba dume