Ligi Kuu Tanzania, Bara: Singida United 0 - 0 Yanga SC

Watanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
Utaumia sana subiri muda mbona nyie mwaka jana mlikuwa na viporo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
Labda wewe huna akili,kesho vipolo vinaanza kuliwa stay tuned
 
Watanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
Mtajitokeza tuu... kauli hii inatokea NAMFUA STADIUM
 
Watanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
usiseme watanzania sema yanga hawana akili wao ndio walipewa kucheza mechi mfululizo uwanja wa nyumbani wakaona sawa ila sasa wanataka wabebwe Simba nao watakuja kucheza mfululizo tulieni watakaoshindana ubingwa ni simba na Azam nyie ni wasindikizaji tu
 
Azam kadraw na kiAlliance VP hapo home ground ...wanapigana mpaka red card
 
usiseme watanzania sema yanga hawana akili wao ndio walipewa kucheza mechi mfululizo uwanja wa nyumbani wakaona sawa ila sasa wanataka wabebwe Simba nao watakuja kucheza mfululizo tulieni watakaoshindana ubingwa ni simba na Azam nyie ni wasindikizaji tu
Mikia wiki hii wangecheza mechi mbili WHY
 
Kocha huyu ashauriwe kuwa kaja TZ Kutoka Kongo kufundisha Soka ,Aachane na vyombo vya Habari vitamharibia kazi yake muda si mrefu.Muda wote vimempamba..sasa asubiri vitaanza kumponda..!Wana Yanga msaidieni hauwezi kuwa kocha hapohapo mtawala na pia msemaji.
 
Back
Top Bottom