Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Aisee usiwaambie hivi hawa vyura mkuu kama unavyojua wana hali mbaya kwa sasa waache wapumzike [emoji23]JKT Tanzania wamekunja nne Tanga pale mkwakwani wanawasubiri...
Utaumia sana subiri muda mbona nyie mwaka jana mlikuwa na viporo.Watanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
Huo wimbo wameutumbukiza kwenye bwawa lao pale kwahiyo huwezi kuusikia KabisaaaHivi ule wimbo wa kwamba hata Simba ashinde viporo vyote, bado Yanga inakuwa mbele ya alama 2 bado upo?
Kwa maana huku kwetu Basata wameufungia ule wimbo..! [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wewe huna akili,kesho vipolo vinaanza kuliwa stay tunedWatanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
Mtajitokeza tuu... kauli hii inatokea NAMFUA STADIUMWatanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
usiseme watanzania sema yanga hawana akili wao ndio walipewa kucheza mechi mfululizo uwanja wa nyumbani wakaona sawa ila sasa wanataka wabebwe Simba nao watakuja kucheza mfululizo tulieni watakaoshindana ubingwa ni simba na Azam nyie ni wasindikizaji tuWatanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
11????Utaumia sana subiri muda mbona nyie mwaka jana mlikuwa na viporo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam kadraw na kiAlliance VP hapo home ground ...wanapigana mpaka red cardusiseme watanzania sema yanga hawana akili wao ndio walipewa kucheza mechi mfululizo uwanja wa nyumbani wakaona sawa ila sasa wanataka wabebwe Simba nao watakuja kucheza mfululizo tulieni watakaoshindana ubingwa ni simba na Azam nyie ni wasindikizaji tu
Mikia wiki hii wangecheza mechi mbili WHYusiseme watanzania sema yanga hawana akili wao ndio walipewa kucheza mechi mfululizo uwanja wa nyumbani wakaona sawa ila sasa wanataka wabebwe Simba nao watakuja kucheza mfululizo tulieni watakaoshindana ubingwa ni simba na Azam nyie ni wasindikizaji tu
Utaumia sana subiri muda mbona nyie mwaka jana mlikuwa na viporo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ
πππ sema wewe Shemela. Maana anajisahaulisha huyo.Akili ya Mikia FC.
Nawajua hao shemela.πππ sema wewe Shemela. Maana anajisahaulisha huyo.
πππNawajua hao shemela.
Mechi mbili Goals 10 point 0[emoji196][emoji196]na wao wapo kundi gumu yanii mechi 3 point mbili!!!!!?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app