Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nyie andadogi mpo kundi rahisi ila mkapigwa goli 10 katika mechi 2[emoji196][emoji196]na wao wapo kundi gumu yanii mechi 3 point mbili!!!!!?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
TULIPATA SULUHU PACHA 0-0Mkuu kwani yanga anaongoza ngapi
YANGA DAIMAWakati mwengine mufikirie wa kuwatakia kheri
πππ Nipo ndugu. Hili tag lako sikuliona aiseee.
πππ Nipo nimejaa tele. Mambo niaje lakini?
Huwa nakuona tu unavyotuombea njaa. ππ
Me huwa nachungulia na kusepaHuwa nakuona tu unavyotuombea njaa.
Oooh. Ndio maana na wewe huwa kuna time huonekani.
Maana hizi timu tunazipenda ila basi tu[emoji120][emoji120][emoji120] Nipo nimejaa tele. Mambo niaje lakini?
Hahahaaaa. Huwa zinatupasua roho acha tu.
Mpaka tuwafunge Mwarabu ndo nitaridhikaOooh. Ndio maana na wewe huwa kuna time huonekani.
Nimeona mambo zenu jana.
Mmmh. Kwa hilo tegemea kutokuridhika mpaka mnatolewa kwenye makundi. πππππ
Nyie kufungwa na Simba ni kitu cha kawaida wala usiwaze sanaHahahaaaa. Huwa zinatupasua roho acha tu.
Hapa naisubiria Feb 16 tu mie.
Eti eee? Hamkawii kusema tumeloga.
Na safar hii hatuend kuloga maan mna hali mbayaEti eee? Hamkawii kusema tumeloga.
Umesahau hali mbaya tunayo toka round ya kwanza ambapo mlishindwa kutufunga.
Mkipata ushindi nitakununulia KonyagiUmesahau hali mbaya tunayo toka round ya kwanza ambapo mlishindwa kutufunga.
Ila tusubiri tuone yajayo.
Uwiiii. Konyagi tena.