Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Tukifugwa sisi bahati mbaya ila nyie mshazoeaUwiiii. Konyagi tena.
Mjiandae kisaikolojia tu maana huwa mechi za Simba na Yanga hazitabiriki.
Eeeeh. Siku zote mwamba ngoma ni lazima avutie kwake.
Waarabu mbona tulishawafunga tena 3 bila, au umesahau JS Saoura ya Algeria pale kwa mchina?
Me namtaka aliyetufunga goli 5Waarabu mbona tulishawafunga tena 3 bila, au umesahau JS Saoura ya Algeria pale kwa mchina?
Kila la heri JKT TanzaniaUwiiii. Konyagi tena.
Mjiandae kisaikolojia tu maana huwa mechi za Simba na Yanga hazitabiriki.
Dua la Kuku hilo Mtoto.
Cheka tu.
Hahahaaaaa. Al Ahaly huyooo. Duuuh
Usijali mie Mwarabu tena. πππ
DOOOOOH
Nashangaa hata mie yaani Kiwanja kikavu mbaya.
Mechi ikiisha lazima wachezaj wapate mafuaNashangaa hata mie yaani Kiwanja kikavu mbaya.
Umeona na ile chokaa inavyotimka?
Hakika maana ni mwendo wa vumbi tu pale.
Yaan sisi Watanzania kila kitu tunafanya kwa mazoeaUmeona na ile chokaa inavyotimka?