SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
kwa mara ya kwanza toka ligi ianze nawaona watani wangu...aisee hii ni team ya kihuni sana...siion ikibeba ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu maneno makali mnoWacha kulialia Ndala ni Kigenge tu hamna timu pale
Kila la kheri Timu ya Wananchi
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Kama mnataka kubebwa njooni getoHawa marefa hapana aisee...yanga ikichukua ubingwa ni kudra za mwenyez Mungu,kuna mpango kabambe wakuifuta yanga kwwnye raman ya soka lakin hilo halitofanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahaha tupo
Iko wapi Yanga jeuri ile ,ilikua inawakataza azam kurusha michezo yao live ,Yanga ambayo ilikua inakataa million 100 za matangazo kutoka Azam ,Yanga ambayo ilikua inaenda kuziba camera pale michuano ikiruka hewaniMapumziko,sasa wachezaji wa Yanga wanaomba kuchangiwa mishahara kupitia Azam
Mtani mbona wasiwasi?Hawa marefa hapana aisee...yanga ikichukua ubingwa ni kudra za mwenyez Mungu,kuna mpango kabambe wakuifuta yanga kwwnye raman ya soka lakin hilo halitofanikiwa
Sent using Jamii Fmiboorums mobile app
Dakika 74 Singida 0 Yanga 0Vipi vyura mbona ham update
Wangefungwa ndala hii biriani ningeila kwa raha sana.Dakika 74 Singida 0 Yanga 0
Endelea kutupa update za hawa vyura maana naona wameisusa thread yaoDakika 74 Singida 0 Yanga 0