Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Dakika ya 66 simba wanapata kona hata hivyo inatoka nje
 
Dante na Okwi wanakabana mpira unatoka inakuwa ni kona lakini inaokolewa
 
kuna dingi amekata viuno hapa baada ya yanga kuchomoa
 
Dakika ya 68 Bocco anamchezea vibaya Yondani inakuwa faulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…