Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TehMnyama ebu nipeni raha kama man u jaman msinifanyie hivyo [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleMatokeo leo ni mbili 1 simba mbili yanga moja
Source:mganga flan hv wa simba
Tulia ufungwe wewe upate akiliMnyama ebu nipeni raha kama man u jaman msinifanyie hivyo [emoji4]
Kwahiyo unanicheka
Hafungwi mtuTulia ufungwe wewe upate akili
nan alikwambia ushangilie li timu linalofumgwa fungwa
Nakuona shemela..Mnyama ebu nipeni raha kama man u jaman msinifanyie hivyo [emoji4]
Maria kasafiriNo
Kwa maria
Ngoja kwanza mnyama amalize kabisaNakuona shemela..
Kula heineken hapo ulipo...
Unanipa laaahaaKwahiyo unanicheka
Basi utalala kwa Stella. Huyu hajasafiriMaria kasafiri
[emoji3][emoji3][emoji3] poouwa shemNgoja kwanza mnyama amalize kabisa
Hahahaaaaa, mbumbumbu bwanaYanga akipata draw leo ni ushindi wa kishindo kwake, Simba inatandaza soka la uhakika hapa, msimu huu wetu, Simba bingwa 2017/18
Dakika ya 68 Bocco anamchezea vibaya Yondani inakuwa faulu
Simba wa kuchora haina matishoNgoja kwanza mnyama amalize kabisa