HapanaTulia basi...umesubiri mka-equalize ndio unanipa Hongera?
Ntalala kwa jiraniPolee poleee basi...hutolala ndani leo ujue
Niko pouwa mkuu.Safi mkuu uko poa lakin
Jirani wa kike eeh?Ntalala kwa jirani
Kwa MkongoJirani wa kike eeh?
Hongera mkuu kumbe unafika adi pande izi za soka na uko vizurDakika ya 71 Yanga wanagongeana hapa Buswita na Emmanuel Martin inakuwa ni kona pale...
Tulia ufungwe wewe upate akiliMnyama ebu nipeni raha kama man u jaman msinifanyie hivyo [emoji4]